Wednesday, June 30, 2010

JINSI YA KUUTUNZA MWILI KUPUNGUZA TUMBO NA KUPUNGUZA MAFUTA.........KUNAHITAJI VITU VINGI TOFAUTI NA VYA ZIADA ILI KUPATA SHAPE UNAYOIPENDA

Kutokana na maombi niliopokea kwa njia ya mails nyingi kutoka kwa wadau, baada ya kukata tumbo kwa wiki mbili, waliuliza ni diet gani nimetumia ili kufanikisha zoezi hilo.

Jibu langu ni hili:

Hii sio ya kitaalamu bali ni mimi ninavyofanya na ndio inayonisaidia kupunguza tumbo.
Kwasababu vitu vya formula mimi huwa siwezi kuvifuata na huwa naviona vigumu sana kwahiyo huwa najaribu kuishi vile ninavyoweza.

Na kizuri zaidi ni kwamba hii sio diet ya kujinyima.
Ila unaweza usifanikiwe pia kutokana na mwili wako kwakua tumeumbwa tofauti lakini unaweza kujaribu kama itafanya kazi

Tukianza na asubuhi nikiamka mimi kama Binti Machozi, naanza kunywa maji glass 3 kabla ya kupiga mswakwi.
Na nikiisha amka nakunywa maji ya uvugu vugu yaliokamuliwa ndimu au limao glass zingine tatu kabla ya kunywa Chai.
Ukizoea maji ni matamu kuliko hata biere
Kuwa Teja wa Maji kuna raha yake pia

Mimi napenda vitu vichachu kwahiyo maji saa zingine naya hisi kama yamepooza ila nikikamulia ndimu/limao kwenye maji ya uvuguvugu hata nisipoweka sukari yanaleta ladha fulani hivi
Ukiweza kunywa maji ya uvugu vugu kila wakati unapohisi kiu ya maji itakuwa vizuri au hata mara tatu kwa siku angalau

Si mpenzi sana wa Chai kwakuwa sipendi kabisa vitu vya sukari, lakini siku ninapo amua kunywa chai huwa nakunywa yenye tangazwizi nyingi sana na badala ya kutumia sukari huwa naweka asali...... Ila unaweza kutumia viungo vingine mbali mbali vya ki pwani (masala)


Asali


Kwa kifungua kinywa Sausage za kuchemsha au kama utakaanga iwe kwa mafuta yasiozidi kijiko kimoja kikubwa cha kulia (nashauri ya alizeti au olive)

Mayai ya kuchemsha si mabaya pia kwa kufungua kinywa
Kumbuka mimi huwa sifanyi diet hivi ndivyo ninavyokula na inasaidia

Badala ya kutafuna Sambusa, Popcorn na cookies au chocolate kila wakati bora muda wako uelekeze kwenye matunda, kama huwezi kupitisha lisaa bila kuweka kitu mdomoni

Mchana unaweza kupiga bakuli la mchemsho wa ndizi, ziwe Bukoba au za kule kwetu Moshi zote sawa kwakuwa mchemsho hauna mafuta kabisa unajilia kadri utakavyotosheka

Kuku Choma ni chakula kingine ambacho kinanifaa nyakati za mchana, lakini haswa hupendelea Kuku wa kienyeji ambao hawakukuzwa kwa madawa
Mara nyingi usiku naipotezea tu, pengine nalalia glass 2 za wine au beer kadhaa zisizozidi 3
Au Kuku wa kienyeji wa kuchemsha aliewekwa chumvi na ndimu na ka ndizi kamoja ka kuchemsha au kukaanga kwa mafuta kidogo sana

Ugali naupenda sana na huwa najiachia nao siku za kujiharibu
Lakini kumbuka wanga sio kitu cha kukiendekeza sana hasa unapotaka kutoa kitambi
Nikiona kinachomoza, napunguza maswala ya ugali.
Japo kwangu ni ngumu siku ipite bila Ugali, ila kumbuka miili inatofautiana... naweza nikala ugali mwaka mzima mwingine akala wiki akafumuka
So usinifatishe ila jaribu kupunguza au uepuke kama utaweza
Tumbo liko hapa sasa!!!!!
Hili ndio tatizo lililonikuta mpaka mkaona ile ishu imechomoka siku ya Birthday yangu
Kwakweli chips ni tamu hasa kwa sisi tunaofanya kazi za usiku ukirudi umejichokea unavamia tu
Unakuta unafululiza hata mwezi unazila kisha unaenda kulala
Japo tunapenda chips vumbi ila tuwe na kipimo isizidi, isiwe kila siku
Ukijumlisha na bia, daaah!! dah!!!!!! dah!!!!! shughuli imeisha
No. 1 enemy kwa vitambi vya wanawake ni hii kitu
Kula angalau mara moja kwa wiki tafadhali kama huwezi kuacha kabisa
Wenye kuweza kufanya sit ups pia fanyeni japo najua mazoezi ni magumu sana na yanatia uvivu hasa unapokuwa na kazi nyingi
Maji ni kitu cha lazima na cha kila siku
Ukiweza kunywa maji ya uvuguvugu Asubuhi, Mchana na Usiku utafanikiwa japo kidogo
Narudia hii sio Diet ya kitaalam ni jinsi ninavyo ishi mimi, jaribu kama utaweza kufanikiwa kwa wale walioniomba ushauri.
Ila kama mwili wako ni mkubwa sana pia jaribu kupunguza kipimo cha chakula unachokula kila siku, ila usijinyime sana.
Mboga mboga kibao kila siku ukiamua mchana na jioni. Ni muhimu sana
with love
Binti Machozi

59 comments:

Sab said...

Thx my love Jide yani mtu ukifatilia mlo sahihi unapungua tu mi naamini ivyo kwani na mi nimeanza kula mlo ambao hauna mafuta na maji kwa wingi inanisaidia naona mabadiliko.Asante kwa kutupenda we love u big

Anonymous said...

Hongera you have a nice body, na mie nitajaribu, ingawa nilianza therapy ya kunywa maji ya moto, sasa hayo ya kuongeza ndimu nitafanya hivyo, hasa sie wenye kukaa kwenye computers kazini kwa muda mrefu.

Anonymous said...

mimi sipendi unene my dia sio mwanamke ama mwanaume.yani unajitahidi kumaintain mwili wako binti machozi.ni kweli diet unatakiwa usiache kula kabisa wengine wanajinyima sanahapo sasa kama haujui ndo unafumuka kupita maelezo maana mwili ukitafuna ndiyo mazoezi yenyewe hayo.i like this blog so much.

Anonymous said...

Thank uuu Jide ngoja nami nainza rasmi keshoo ...Maana kunywa maji naweza nitaanza na hilo kwa kweli.God Bless you Mrs G ama kweli wewe vizuri wala na wenzio vibaya watupia mbwa na haterz wako

Anonymous said...

me nashukuru ila natatizo moja napenda sana chai maziwa maji naona machungu, naweza kukaa hata wiki sijakunywa maji ni mnene ila sina kitambi.

ok pg up.

Anonymous said...

ila unajua nini kweli kakitambi kalikushika nikiangalia ike video ya usiusemee moyo au ile maumivu tele moyoni. umekuwa slim. au picha moja hivi mlipiga na ray c ulikuwa slim. ila hako kakitumbo tu kalikuwa kanakuning'iniza bora ukarudishe kwao katakujaga muda wake ukifika. ukiamua kujiachia mwili wote.


ok be

Anonymous said...

thankz for good diet and simple kwa sisi tusiye na kitu tunamanage hiyo.

JIDE- NATAMANI SANA UIMBE NA LEAH MUDY, SHE IS ROCK MAN. MAMPENDA SNA YULE DADA SEMA HAJAPATA WA KUMPA SHAVU NENE ANG'ARE ILA YULE DADA DU, ANAIMBA SI MCHEZO. SASA HIYO KORABO UFANYE NA SHAA, IWE MDUNDODUNDO WE BANA, ACHA, MBONA AKINA MARIAH, TON USTON,EVE E, NA AKINA WENNG WENGI WANADADA WANAPIGA MUZIGO UNAKUWA FRESHHHHHHHHHH, HEBU FUMBENI MACHO PIGENI HIYO KAZI, NYIE WATATU, WANAWAKE WANAWEZAAAAAAAAAAA, JAMANI.

rida said...

ukweli nimeipenda iko powa
je wewe ufanyi mazoezi?
asante kwa ushauri wako tupo wengi wenye tatizo la kitambi
thns from rida

Ester Ulaya said...

Kwenye kunywa maji mengi napatikana, nitajitahidi msosi niupunguze maana na huku kijijini vyakula original vingi na vitamu, duh!

Ila ukiifuatilia imetulia

sophia said...

Hiyo safi ila kwa sisi mabonge haitufai kabisaa, unaumbo zuri sana Jide,

Unique said...

Apples pia yanasaidia kupunguza mafuta.

kashubi said...

Kusema kweli katumbo kakizidi hata nguo hazikai vizuri mwilini, inabakia mtu unavaa madira. Mimi pia nina tatizo hilo, lakini tangu nimeacha kula mikate kabisa, wali nakula kidogo sana pengine mara moja kwa wiki; chapati, maandazi, keki, biscuits yaani navila kwa msimu; nimeona kitumbo kinapungua hasa, bila kusahau maji kwa wingi na mboga za majani na matunda.

Ni ngumu kweli, inataka discipline ya hali ya juu, lakini in the long run unakuja kuzoea na tamaa ya kula vyakula hovyo inapungua. Ila tukumbuke kwamba kujinyima sana chakula pia kuna madhara yake, kwani vyakula vingine vina faida ndani ya mwili, lets not over do it.

Anonymous said...

ASANTE DA JIDE..MAANA KITUMBO KIMENITOKA NA SUMMER IMEANZA.GOD BLESS YOU..

kai rooney said...

Thanks Manka hata mimi hii ya kwako inaweza nifaa manake na mimi ni mama samfud. zile za kitaalamu zilishanishinda kabisa

jane said...

Thx my love Jide. kesho naanza nikipunguza tu nitakupa jibu asante sana, Nakupenda dada

jane said...

Thanx my love Jide. kesho naanza asante dada , Nakupenda sana

Anonymous said...

thax jide nimekuwa mikifanaya hiyo kila asbh kabla ya kupiga mswaki naweka na asali kidogo. majibu yameshajitokeza. nina four packs.

Anonymous said...

hongera sana jide maan kweli unajua jinsi gan ya kujipunguza maana upo vivyo hivyo kila siku. hata mimi msichana mrembo ila kitambi bwana kinanikosesha raha na napenda kula kupita maelezo sasa ntajitahidi maji na ndio kwa chat viwe rafiki zangu na matunda. ila sasa nipenguza kula asubuhi nakunya chat tupu na mchana nakula ndizi mbili za kukaanga mana napofanya kazi hakuna cha zaidi ya chips na wali sasa. alafu jioni nafanya mazoezi kdg na namshukuru mungu maendeleo nimeona nina week sasa tangu nianze. nakupa ngora kwa maendeleo yako mungu akuzidishie .

Anonymous said...

hongera sana jide maan kweli unajua jinsi gan ya kujipunguza maana upo vivyo hivyo kila siku. hata mimi msichana mrembo ila kitambi bwana kinanikosesha raha na napenda kula kupita maelezo sasa ntajitahidi maji na ndio kwa chat viwe rafiki zangu na matunda. ila sasa nipenguza kula asubuhi nakunya chat tupu na mchana nakula ndizi mbili za kukaanga mana napofanya kazi hakuna cha zaidi ya chips na wali sasa. alafu jioni nafanya mazoezi kdg na namshukuru mungu maendeleo nimeona nina week sasa tangu nianze. nakupa ngora kwa maendeleo yako mungu akuzidishie .

Anonymous said...

hii mbona kama diet ya muathirika, kumbe ni ukweli umeathirika JIDE, ndio maana hutaki kusikia habari za kuzaa. Pole shosti tuko pamoja.

Anonymous said...

jamani mimi nala kama mchwa ni lazima asubuhi nipakie kisawasa, mchana mwema niuone na usiku kama kawa na hapa kati kati kila kipitacho changu lakini jamani size 12 mwaka wa 20 haiongezeki, nilipojifungua niliongezeza kidogo baada ya muda mule mule tena nikapungua zaidi ukiona tumbo nikikwambia nimezaa utakataa.halafu mbaya zaidi nala wala sinyi mavi ni shughuli nyingine mpaka nikafanyiwa operation ya heromroid lol!! kisa constipation jamani!!!! haya na mimi mnanishaurije????? nipunguze nini???

msafir said...

duh,thanx jd,mke wangu anapeleka hii vitu balaa,hasa hiyo chipsi vumbi yaani toka nimemlambisha sasa yeye ni breakfast,lunch dinner.kisha bugger,pizza na hizi tamutamu km cake,ice cream,chocolate anapeleka kama yuko kwenye mashindano,mi siku hizi natembea na pen na kikaratasi narekodi nataka mwisho wa mwezi nimwonyeshe ni vipi anajaza weight.sasa ana kitumbo kama kiroba tumeenda kwa madokta na kila kitu imeshindikana zaidi wamemwambia akitaka kupunguza ni juhudi zake yeye.aargh sasa maybe surgery tu maana mi nshachoka.

florah said...

Ahsante Jide Mumie nimeanza kutumia hizo njia nitakujulisha majibu baadae, KAZI NJEMA
Mama Mario

Anonymous said...

saada said yan jide mie nina tumbo mpaka nakosa raha na limetokana na kujifungua kwa operation watoto wangu wote wawili,na sasa nanyonyesha natamani hata kunywa dawa kama ipo ili nikate hili tumbo,THANKS 4 UR ADVICE MUMY.

Anonymous said...

Asante dada mungu akubariki, nilikuwa natafuta njia rahisi kama hii ya kupunguza tumbo siku nyingi maana kama ulivyosema mazoezi yanataka mtu uwe na nafasi nashukuru mungu amesikia kilio changu. Inshallah naianza hii diet.

Mariam

Anonymous said...

asante sana dada nashukuru kwa msaada wako, nitakula kama wewe maana tumeachwa kwaajili ya unene,

Anonymous said...

nimeipenda sana hii thnx binti machozi ninaifanyia kazi

Anonymous said...

thanx jd nitaanza kuifanyia kazi now kitambi so yaani mtu unashindwa hata kuvaa top

Anonymous said...

iko poa kwako ila ,duh wengine hiyo tutafutuka mara 2

Anonymous said...

DUH! KIUKWELI UTARATIBU ULIOJIPANGIA NI MZURI KWA AFYA YAKO NA UKUBALI.LAKINI KWENYE MAZINGIRA YENYE JOTO TU.ILA KWENYE MAZINGIRA YA BARIDI NI NOMA.
by Mike

Godwin p g said...

Namuonea sana huruma huyo ambaye anapenda icrem,kek,chps,burgar nk maana hajui au haon wenzie walivyo na vtamb na vinatelemka mpaka kero kwa waume zao licha ya kuwa kero m2 wa hivyo haishwi na magonjwa mshawishi
awe ana watch vipnd vya ma herberist kama akina ndodi na jethro kloose Ataona watu jins wanavyo2 sms wasaidiwe mavtamb yamekuwa kero yan utakuta mdada nyuma bapa mbele tumbo linaning'inia. Jide walandalizie Hiz ni zama za kulud ktk bustan ya eden!!! Am signning out!

Anonymous said...

HI!MRS G NIMEUPENDA SANA USHAURI WAKO MIMI PIA KITUMBO NI TATIZO KUNZIA KESHO NAANZA KUF'ANY6IA KAZI NAAMINI NAWEZA.THANX SIS.

Dorhie said...

Nimeipenda sana diet yako dada Judy, nitajaribu .

Dorhie said...

Nimeipenda sana blog yako dada,
then i real like your diet, its simple and nice.

Dorhie said...

Nimeipenda sana blog yako dada,
then i real like your diet, its simple and nice.

Anonymous said...

Asante kwa ushauri, maana haya matumbo ni balaa!

Anonymous said...

asante kwa ushauri jide!

jacque said...

ahsante kwa ushauri wako mzuri, nimeipenda sana hiyo diet yako.

jacque said...

thnx kwa maelekezo yako jide jinsi unavojiweka sex, nimeipenda sana hiyo. thnx kwa sana

jacque said...

thanx jide

Anonymous said...

nashukuru sana JD kwa kutusaidia wanawake wenzio hiyo ya maji kabla ya kuswaki nilikuwa siifahamu, lakini pia badala ya chai wengine wanashauri maji ya moto unaweka Mdalasini na asali, hii ni nzuri sana maana inatibu na baadhi ya magonjwa,halafu mikate ni vizuri kutumia mikate ya brown badala ya white bread.
kila la heri katika kumalizia mwezi wa Shukrani.

Devota said...

Hi Jide, Nakushukuru sn Mdogo wangu, sikubahatika kuifungua hii blog yk. lkn leo Mungu kaniangazia nimeifungua. Nakushukuru sana kwa hiyo Diet, kweli unene unachosha, huwezi vaa vizuri unatamani skin Jeans kuvaa huwezi, hata High Heels ni shida kuvaa. nakushukuru sana, nitaanza hii diet kesho. nimekuwa mnene sana kiasi cha kwamba hata bia nimeacha, na vingi tu nimepunguza. nitafanya na hii yakwako ili nione nitapata results gani. nina kilo nyingi hata kusema au kuandika hapa nashindwa.

Anonymous said...

wabongo taabu sn,hivi kitendo cha kunywa hayo maji,mpaka kwenye mtandao? daaa!ni shida xn mbona ni mambo ya kawaida? huwezi fanya forcing ya kulazimika kula mlo mmoja kama pia hiyo body yako kwa asili umerith jinzi za nani then ukabadili kama vile clothes...kama body yako iko miraba 4 utajidanganya kwa kitambo lazima utabaki palepale..so tusitake kukubali kila anachoongea huyo binti basi watanzania wote wajaribu kumsikiliza kama vile anasehemu ya pekee ya utukufu ama wazo lake ni muhimu saana...kwanza wataalamu wanasemaje zaidi ya hili?? wengi wametakiwa kufanya zoezi but wamerejea vilevile pindi body ikizoea...Japan ndio walibuni njia ya kunywa maji lakini wengi wametumia after that wamerejea ...sasa lady usitumie wazo lako liwe takatifu kwa watzania wenzako

Anonymous said...

da diet yako nimeikubali dada.

Anonymous said...

ppia usilale baada tu ya kula pia utembee kwa angalau nusu saa kila siku jioni inasaidia sana.

Anonymous said...

Hi ccta jide! thanx 4 ur advice big up xna da2.sory mi cna ktambi kivile but ntaka npuguze zaidi,then nmenenepa eti hadi nmekuwa na vigimbi.dah!nsaidie ccta nfanyeje? al de bect

Anonymous said...

Asante Jide kwa kutuelimisha kuhusu kukata matumbo hasa akina mama (dada) kwa kweli miili imetofautiana sana wengine hata wale vipi wako vile vile. mimi kinachoninenepesha ni usingizi na nikila wali mfululizo na vyakula vya nazi lo! balaa nafumuka sana na hizo chips ndio usiseme. ilala hii march nachukua likizo nitafuatisha haya maelekezo uliyotupa ili nikirudi kazini niwe kipotable wewe. natamani sana figure yangu ya zamani lakini wapi! nimechelewa sana ila najipa hope nitapungua kidogo. I love you jide (commando, mama some food) muke ya gardner.

Anonymous said...

Yaani unanishika kuanzia kwenye mashahiri hadi kwenye mlo i salute you with much respect dada yangu

Friday Mtweve said...

nimeipenda ,bcause najua sukari na majani ya chai si vitu vizuri mwilini,so ukiweza kuviepuka inakua bomba sana ,lakini mafuta ndiyo mabaya zaidi avoid them ,ukinya maji ya moto kabla ya breakfast na baada ya chakula cha mchana itakusaidia sana kuondoa mafuta tumboni
good day

Anonymous said...

Katika vitu sivipendi au niseme vinazeesha wanawake ni VITAMBI!Katika maelezo yako, nimeona ukitaja kitu - bia. ila kinachokusaidia ni limao coz lina-nutralize hizo bia. Dada zangu urembo/kupendeza sio kitambi!

Anonymous said...

Nimeipenda sana hii jide,big up! mi huwa nakupenda sana maana ko simple na na kipaji cha hali ya juu,Mungu akuinue juu zaidi.

happy happy said...

Maji ya moto ya ndim napenda sana

Elly PHDprettyBoy said...

KWA HAPO IKO NJEMA SANA..

Clarisa! said...

Asante kwa ushauri Binti Machozi...

Anonymous said...

for sure....hasa cc wavyuon tunaonas chps n simple food bac tunajikandamizia tu.......aaahhh mm n slim but katumbo kanaharibu....tanx my dada n i will try ua diet coz ts simple too.

joyce mallya said...

nimependa mtindo wako wa chakula bint machoz

joyce said...

i like it bint machozi

Anonymous said...

m naamin tukifatisha hiii mtu unakonda kabisa seriosly.......

Anonymous said...

i lyk it.... Jaman wa2 waliomba ushauri na yy akawaambia jinc yy anavyoish na kumaintain figure yake...sasa ww unaesema mawazo yake yacabudiwe ni chaguo la m2 kufata aishivyo jide au lah... Achane maneno wa bongo lol.. Nimependa diet yako jide....bg up